
Nko na friend wangu Jemoh anadai kuanza biz ya kuuza sliced fruits sanasana Watermelons, anauliza hii biz inahitaji nini na anaeza anza hii biz na least capital ya how much. Jemoh pia anauliza if kuna MESHers wenye wanauza hizi watermelons na wholesale.
Tusaidie Jemoh wakuu

0
0
0