Nko na idea kuanza kufunga kaku,unanunua zikiwa dogo,afu zikikuwa ,unauza mayai,pia kuku za kukula.sana sana wakati huu wa corona,hio bizna iko smart sana