Nko sure kuna a good number of MESHers who are graduates na hamjawai pata internship opportunities, naona gava inapanga mambo huku, mko sawa na hii 5k per month?