
Nlifanya gig fulani ya one of my clients some few years back. Job ilkua ku scan title deed documents na kuzi safe with their respective names. Last week walinsho they need an excel copy of the same documents. Zilkua more than 500 files za ku go through. I thought Njia naeza make make my work easier juu hizo files zlkua mob. So ni ka come up na idea ya kuunda small program ambayo itachukua the names of the files na inipe kama list naeza copy paste kwa excel. Cheki kwa picha the implimentation. This can come in handy kama unafanya office work that deals with alot of files. Itakusaidia ku sort virahisi.



0
0
0