
Nlifanya hii hesabu Kwa kichwa Hadi nikachoka na saizo ni pesa MTU ameunda in one year...this guy must be making a kill with this..wenye tuko na knowledge about chicken farming and mayai , how possible is this?iko gold mine hapa ama?..and about farming in general I have heard so many people wameacha well paying jobs wanaanza ukulima ...is there something watu wamediscover kwa farming yenye hatujui?...wenye wako kwa hi sector tuchanueni please 😎

0
0
0