
Nlikua employed ka cyber attendant but due to hii story ya corona ile end up iyo Cyber ikafungua ju tulikuwa tunadeal sana na mastude. Nlitulia mtaa then nkakam up na idea ya kuuza mayai na smokies. Haikua easy at first but sai naeza sema nimepick plus nimeintroduce hustle ingine ya kuuza fruits which naona iko tu sawa. Msee ka ukona idea ya biz yoyote just take iyo step na uanzishe coz iyo idea ndo inaeza open ways for you. Usidharau kitu yoyote ama uone inakaa ya ufala sana. Take iyo step na ul see fruits zake
0
0
0