Nlikua na idea ya kufungua nail spar nkabuy vitu kadhaa na penye nmefika nmeshindwa naeza saidiwa aje