Nlikua nauza nguo za watoi but since corona outbreak bizz ilienda down..coz wateja wengi waliprioritize food kwanza kuliko nguo.