
Nlikuwa down kifedha hiyo time btw. So nikafikiria on how I can get out of the mad. I decided kusaka jwala (sugar bags), nikazikata poa into sockets. Nilieka mchanga na kusaka mbegu za cypress beshte fulani. After kupanda nikawa nikimwagilia na kuweka mbolea ya compost juh siku-afford kubuy mbolea soko. Nikawa patient hivohivo until they became a marketable size. Nlikuwa naomba crate, napanga miti yenye imetosha kupanda karibu 300 kwa siku juh nlikuwa nmeraise around 5000 seedlings, nikipeleka soko na bike. That's how I started making my own cash. Day one pekee nlisanya 1500 and it was a great turning point.
0
0
0