
Nmeanzisha mradi ya kusaidia community on how we can start biashara ya kufuga kuku.Tunanunu vifaranga zikuwa one day old na hapo ndio tunaanza kuzitunza Hadi zikuwe ready kuuzwa. wasee wamepata opportunity ya kuniona ili niwafunze jinzi nafanya vifaranga zikuwa healthy na hazikufi
0
0
0