Nmekua baro like 9 years but sasa nataka kuingia kwa online taxi side za kwale,Diani... Wasee wamekua kwa hii field,ma-ups na downs expected ni zipi?