
Nmekuja kukaa hivi nikafikiria nikapata kuna ka talent watu hukalia sana. Abel Mutua a.k.a Mkurugenzi alijua ako good in story telling akaamua sasa kukalia serious. Akafungua YouTube channel kazi yake ni kuwapea mastory tu buana mnamlipa. Top genius. Msee is talented when it comes to story telling, he gat the juiceeeee.
Ukicheki unakuanga good in story telling? Wakenya tunapenda mshene bana we monetize hio story telling yako tutakulipa. Anza na Youtube na Tik Tok, tupee that juiiiceeee.... ama mnaona aje?

0
0
0