
Nmekuja kuona you guys underrate some social medias when it comes to promoting your content, wewe unapost tu youtube ama tik tok na ni hivo, sasa hizi socials zingine zote unaziachilia bana ziende hivo. Msikue hivo, post on every platform wasee.
0
0
0