Nmeona mtu amesema ofisi za mesh Nairobi wakitaka viti na vitu zengine ye ndo plug wao😄 Mimi nasema na ikifika break na lunch kwa chakula mimi ndo plug wenu. #Promoteyourown