
Noma ilikam na Covid -19 ilileta ngori sana kwa hustle lakini tulimanage kuendelea though we had to reinvent our business to suit with situation. Kama kawaida Shujaaz came through with initiatives za handwashing stations ambazo zilihelp kuboost biz zetu. When we come together tunaeza achieve greatness.
0
0
0