NOTICE TO NYOTA APPLICANTS (BUSINESS SUPPORT COMPONENT)
Kuna wasee wamepokea pre-selection messages for the NYOTA Project, kutakua na validation exercise hii Friday 24th October, 2025.
Hii validation exercise itakua kwa constituency level, and attached below ni designated venues for these activities. Pre-selected applicants wote wanahimizwa ku-familiarize with their respective venues na wajipange ku-participate kwa hii stage muhimu ya hii programme.
Wale applicants hawajapata pre-selection SMS, kueni wapole coz naskia hio process bado iko ongoing.
Alafu hao pre-selected applicants lazma wafike in person kwa hizo venue wakiwa na original ID na copy ya pre-selection SMS for verification.
0
0
0