Now i understand reason Tatu City huwa ikona that level of usafi
Huko hakuna gari ikona matope inaingia Lazima usafishe gari tyre ndio uingie ama upigwe fine