
Now if u think that the pandemic period is turf then u haven't seen anything.Juzi Gava iliongeza bei ya mafuta ya taa na petroli.Hii inamaanisha lazima bei ya bidhaa muhimu na services kama matatu na fare zipande.Watu wengi wamepoteza kazi wengine wanalipwa mshahara nusu.Wengine biashara zao zilianguka.Explanation ya Gava ni ati lazima waongeze ushuru kwa bidhaa muhimu ndio wapate revenue ya day to day runnings.Swali ni HOW DO YOU EXPECT TO COLLECT REVENUE FROM SOMEONE WHO IS JOBLESS OR ON HALFPAY.Ivi ndivo mnaongeza family breakups na ma ugonjwa za akili.Watu wanazunguka juu na chini kutafuta chapaa ya kuamsha biashara lakini hazipatikani.Women fund,Youth fund na pia Uwezo fund sijui ziusaidia kina nani.Motaratara ya kuzipata ni ndefu alafu imejaa vikwazo na vizingiti.AFATHALI HII TIME YA CORONA JUU BADO TUKO NA NGUVU KIASI.BAADAE SIJUI VILE ITAKUA.THE AFTERMATH OF THE PANDEMIC WILL BE TURFER THAN THE PANDEMIC ITSELF.I DO NOT WANT TO SOUND LIKE A PESIMIST,IT IS WHAT IT IS.HOPING FOR THE BEST BUT EXPECTING THE WORST.ONLY GOD WILL GET US BY...