
Now that Highschoolers wanakaribia kumalizia exams, watakuja home then wakae for a long time awaiting to join Campus. Thats a very long time ukiwa idle. And unaeza jipata unaengage in some immoral activities. Plus now that utakua na expenses mob zako, so you'll need some cash.
Other students wenye hawatakua wamemaliza shule pia they will need some tutoring to keep them busy at home. Thats a good opportunity for you😊
Kuna many income generating activities unaeza engage in. One of them ni ku offer tution activities to the rest of highschoolers wenye hawajamaliza ama pia primary school kids. Unaeza organize for a church hall ama place yotote tu utaget, then approach the parents with your idea.
Unaeza amua sasa utakua unacharge 50 bob per day per student. Ama higher. Ukiwa na 5 students hio ni 250 per day. Still unaeza kuwa na 2 sessions. Moja asubuhi na ingine afternoon. Ukiwa na students in both sessions si you see utakua na doh.
#KuaMjanja
