NOW THAT TUMEPATA HIYO LOAN AND TUNATAKA KUPIGA BIZZ AND VALENTINE IS COMING:
Msee kama wa fashion anaweza fanya aje ndo atake advantage ya kumake memories this year through valentine day?
-
MAKE A VALENTINES DAY SALE OFFER: hii ina help ku create urgency na pia kucrate awareness kuna special day for loved ones.
-
THIS MOMENT NI POA KUPROMOTE LOVE: This the month of sharing some love to everyone na pia its all about celebrating ourselves pia, encourage customers to treat themselves na collections kali kali uko nazo hapo kwa shop yako, express vile fashion yako ita pea customer confidence na kuexpress personality yao.
-
PERSONALIZED GIFTS NI MUHIMU: kama jewelries, ama clothing’s na customers. Ukiprint customers names kwa clothes ama jewelry ama anything else can create a very memorable experience kwa customer.
Hapa hivi kwa comment section ebu nichanue na other tips zenye Meshers in bizz wanaa ku push ndo wa make big sales this Valentine session.
