Nowadays asali imekuwa an important necessity kwa nyumba lakini nikona changamoto ya kuchagua the best and pure honey.
How do you tell kama asali ni pure ? Tips will be highly appreciated 😊🙏