Nowadays biashara ya hoteli ni kujituma na kukuwa na watu wa sales ....asubuhi mna agree wauze chai thermos ngapi that is kuzururisha just within. Hiyo masaaa wanauza chai pia wanachukuwa orders za lunch ikifika ni lunch wana deliver. It works well in a developed towns. Hapa kuna mechanics, watu wa salon,watu wa ofisi na wengineo as you remain kwa hoteli yako wewe na wapishi mkiuzia wanao ingia ndani.This way you can win more customers than kuongojea wale wanaingia tu.
0
0
0