
Nowadays naona wasee wengi wa dhuthi huchukua motor bike za loans. According to someone's calculations wanadai they pay more at the end wakimaliza kulipa. How's your take on this fellow meshers? Is it better to buy on cash then uanze job nayo direct ama it's better ya lipa mdogo mdogo na kazi inaendelea. #Tujijenge

0
0
0