
Nowadays scammers wamekuwa everywhere sio tu kwa social media pekeake bit also hata kwa text messages na phone calls๐ค๐ค for instance kuna msee alinitumia text akidai yeye ametoka firm flani inajiita #Apollo wao hudeal na stuff za agriculture,,,so because nilikuwa nadai kupanda hiyo season ya kupanda I had to give it a try ๐๐๐๐kumbe ilikuwa ni #Scam,,
Tangu hiyo day nikagundua kumbe technology nayo imekuwa noma Aajab kwa simu yako kama uko na smartphone ukiwa na #truecaller turn on notifications ndio itakuwa inakushow scammers na every detail yenye unafaa kujua about anybody mwenye anakutext ama call ๐ค ama kama msee anatumia simu ya buttons,,, unaweza pia turn on ile button ๐ ya #Spam then utakuwa in a better position ya kujua hawa conpeople๐ช๐ช
