Ntajaribu hustle ya wines and spirits, lakini requirements no ngori, process ya kuget license noma. County lazima utoe kakitu ndio upate licence. Naona usaidizi aki.