
Of all the spices zenye so far tumeongelelea kwa group yetu ya Catering & Hospitality, ni gani ime stand out and ni must have kwa every kitchen?
And for the meshers wondering where Kitchen Master group imeenda, we got upgraded to "Catering & Hospitality" ndio we include everyone mwenye ako kwa hii field ya dema.

0
0
0