
Okay, so umeanza biz na inaendelea vizuri.
Sa unataka ku-scale uongeze dooh
Kuna fundamentals 2 unafaa kujua kama unataka kuongeza revenue
1. Life Time Value (LTV)
Customer umekua nao hadi sa hii wamekupea pesa ngapi total?
Tuseme ukona customer amenunua vitu za 1,000 na mwingine za 3,000.
Huyo wa 3k akona LTV kubwa kuliko wa 1k ju amekupea pesa mingi.
Sa, Ukitaka kuongeza pesa, tafuta vile unaezafanya huyo wa 1k akuongezee pesa akinunua vitu zaidi.
(Connect na uniambie biz yako ni gani nione kama naezakupea idea)
Huyo wa 3k ndio mtu wako kabisa.
Anafurahia kazi yako, unamtunza vizuri na pia anataka kununua kutoka kwako (hii ndio ya maana sana).
Kwaivo mfurahishe arudi tena na tena na tena.
Akikuja mshughulie kabsa na ukiweza, mpe bonus arudi tena. ...
(Ninatest out platform, kwaivo sitaki kuoverload message.
part 2 nitaeleza next message alafu nitaingia examples nimeona zikifanya na vitu unaeza-test
-
Kama imekusaidia - upvote.
-
Kama haijakusaidia - downvote na comment ni wapi ninakosea.
-
Kama hujaelewa, connect nikuelezee)