Okey sahi na hii weather kuna biz ya kuuza kahawa tao jioni mausiku mnaonaje capital kidogo tu ushaanza kazi mnaonaje?