
One of our members , Mr. Brian Otieni anadai advice ya wadau hapa MESH.
Brian amejaribu sana aka get pesa kiasi na anahitaji usaidizi kutoka kwetu ajue vile anaeza kuanza Bizna. Since hajawai fanya bihashara any anaogopa sana.
Tuchangamkeni tujenge mmoja wetu!
"I have little cash and I want to open a business yet am afraid coz I have never been in any field ya business so I need your help"
0
0
0