
One of the best marketing ways ni through social media, online marketing inareach customers wengi sana,... Create hizo pages kila place be it fb,Ig,Twitter etc...
- Be customer friendly, hivi utaget kujua vitu zile customer wako wanadai, kenye inawapendeza
- Make sure umeangalia price ya your products, make sure hauja overprice products zako.
- Business cards ni zingine poa kwa kumarket biz yako.... Husidharau biz yako useme ati biz ni ndogo hauhitaji biz cards,no... Try kuhave kiasi upige distribution kiasi.
- Kama uko na uwezo try those billboard's across the country.
With that i think biz yako itakua juu sana. But one thing muhimu ni heshima, kuheshimu customer wako. And put God first.
0
0
0