One thing nimejifunza through time na experience ni ati, "kilimo haina autopilot button. Be present at your farm".
Wewe umejifunza yepi? Tuchanue kwa comment section.