One thing nimeobserve kwa hizi streets za web developement ni kwamba unapata programer ametumia template lakini amesahau kuchange some details kwa hiyo template. Unaget bado kuna language haieleweki kwa website ama kuna link bado hazifanyi ama forms haziezi submit. Ukifanya hii biz, hakikisha umedeliver kitu complete.
0
0
0