One way investors hupata doo kwa stock market ni kupitia Capital Gains.
Hii ni profit unapata ukiuza share kwa bei ya juu kuliko ile uliinunua.
π ΄ππ °π Όπ Ώπ »π ΄:
Tuseme ulinunua pieces 10 za miwa. Baadaye demand ikaongezeka na ukaanza kuziuza kwa bei ya juu kuliko ile ulibuy nayo.
Hiyo tofauti kati ya bei ya kununua na bei ya kuuza ndiyo profit yako.
Kwa investing, hiyo ndiyo huitwa Capital Gain.
Bei ya shares hupanda ama kushuka kulingana na performance ya kampuni na vile market iko.
Explore investing kupitia Ziidi Trader on My OneApp.
#ZiidiTrader #InvestNaZiidi
0
0
0