
Online Hustle Mistakes Zenye Zinakuzuia Kupata Clients
❌ Kujibu clients late – Response time ni everything
❌ Kutotumia testimonials – Weka proof ya kazi yako
❌ Pricing bila strategy – Usitumie bei ya guesswork
❌ Kutosocialize kwa groups – Network = Net Worth
❌ Kukataa kujifunza AI tools – The game is changing!
Gani imekufinya sana kwa hustle yako?
0
0
0