
#OnlineBizChallenge is HERE 📲
Vile #COVID19 ili-kaam, biz zime-change sana! #Opportunities sahii ziko online, all you need is a smartphone na internet connection.Tuchapie, ume-learn nini kuhusu online biz since COVID? 🤔
#Winners watajengwa na a special token kutoka partners wa MESH na lazima wakue members wa hii group yetu!! 😎
Leggo 🚀
0
0
0