
our big Artists have less than a million subscribers. Bien ,Nyanshiski and Khaligraph Jones to date are still below 1 Million subs . Alafu sasa mtu kama Diana B got one million subscribers. Hata Saa hii Vera Sidika aamue kuweka YouTube channel, within 2 years atakuwa na 1 million subscribers juu ya kushake nyash. Alafu sasa kuna Wasanii hii Kenya wanajituma saana . Ila hakuna siku tutawasuport . tunangoja depression iwachape after kutumia dooh nyingi kuskuma projects zao. Wakenya itabidi tuwe serious manze , good music should unite us sio tu mambo ya dugudugu na leaked nรปd*-s ama namna gaani my friends??๐๐ค๐๐ญ
0
0
0