
Our industry is one kati ya zile zimekuwa affected sana na the ongoing floods, especially wasee street food vendors.
And for all wasee wa Street Food, jua kuwa as you navigate through hizi difficult times, hauko solo. Your customers, neighbors, and communities stand beside you. Poleni kwa wenye wamekuwa affected directly na indirectly.
0
0
0