
OUT GROW BIZ.
Change ni inevitable. Right now niko kwa hio cross road ya ku feel like, either, nime outgrow one of my buck making biz, as a result ya vile post covid performance ime affect, ama hii biz haiwezi grow/expand further than this. Am sure at certain point kwa biz ya meshers hapa, washafikia kuwa kwa hii path, so kwa wenye walijipata hapa, gamer changer ilikuwa? Nichapie kwa comment section ata inbox nta appreciate saaana.
#SisiNiMesh #Tujijenge
0
0
0