
Oya! Karibuni New Joiners β Thanks to @[Herman Kago] (#HamoTheProf) kwa kutuchanua. Lazima #Tujisort wasee β When we come together, we become stronger. We are the solution to our challenges.
What is MESH? Hapa msee ana-benefit aje?π€ MESH ni community ya young SERIOUS Kenyanβs wenye wako in various hustles. Hapa hivi we work together by sharing ideas, inspirations na opportunities. Hii ni baze ya kuokoleana! Kama ungetaka kua connected to a Mentor / a Supplier ama msee anaeza kuku-sort na kitu unahitaji kwa hustle yako we got each other covered. Letβs do this! Tujijenge ππ€ Chapiana na #HamoTheProffessor hapa kwa Comments - - - You never know ako na mazuri gani. Le' Go!
0
0
0