🧅🧅🧅🧅🧅🧅 Oya, Maxe bei ya kitunguu inatumaliza - Nilienda Mashuuru na Selengei <source ya Vitunguu> soko haina rada. Nani anajua plug anauza poa saa hii?