
Oya shujaaz, mambo vipi? Ni victor hapa. Nko based in Ukunda town karibu na naivas. Nashukuru Maulana this year nimeweza kuachieve kufungua my smokies and mayai biz. All of that imekuwa possible na all the great inspiring stories mnaleta via the mesh app. Though kuna challenges kibao there is no day nitakosa at least kapesa Ka food na kulipa rent. Nahope looking back after 3 years from now hata one year from now nitakuwa nimefaulu kuexpand biz nikuwe na trollies kadhaa na niajiri mavijanaa. #LetsReflect #2023 #MeshChallenge

0
0
0