
Pale Nyayo National Stadium leo shugli iko busy🔥
Fans wako in their thousands, watu wa kuuza maji, soda, sweet, biscuits leo ni kukafunga tu.
Harambee Stars 🇰🇪 vs 🇬🇦 Gabon – 2026 World Cup Qualifier!
📍 Nyayo National Stadium ⏰ 4pm
Unawatch game uki wapi?⚽💪🏾
#HarambeeStars #TeamKenya

0
0
0