
Pale X (Twitter) na TikTok, hashtag "Interpol" ina trends, story za arrests related to credit card scams zimekuwa hot topic. Mambo ya Forex Trading nayo yameingia kwa talks huku wengi wakiquestion, hii biashara ni clean kweli ama kuna hidden dirt?
Tuambie thoughts zako: Forex ni hustle legit au scam disguised as opportunity?
0
0
0