
Papaya/pawpaw πͺπͺπͺ welcome once again at Brian's Health corner ππππππ yet another Wednesday πͺπͺπ―πͺ
take a pen and paper tuchanuane kiasi about benefits za Papaya ama kwa wasee wa English Pawpaw πͺπͺ so hii ni fruit moja great sana kwa body na pia kujibamba tuππ
- Hii fruit inaweza kutumika kama fruit salad (b) inaweza kutumika kama shake when mixed with other fruits (c)ni smoothie moja noma sana when blended (d)kwa wapenzi wa salsa ,,hii lazima you give it a try πͺπͺ (e) before you start up your daily meal papaya inaweza kuwa appetizer freshy sana
- Heals heart diseases meaning kama umekuwa na problem ya kuskia heart ikishtuka all the time try pawpaw yenye haijakuwa ripe sana
- It contains a lot of vitamins very beneficial to our bodies,, this are vitamins like C,K na in addition pia zina Potassium
- Sensitive skin problem shared π€π€kula papaya in your diets it will help you fight skin diseases ama when blended you can use the juice and add in some ripe avocados π₯π₯ then apply to your skin ππutakama na ushuhuda
For more info keep it Brian's Health corner πππππ every Wednesday πͺπͺπ― kama kawa #form ni kujengana π―π―πͺ

0
0
0