
đŸ¤”Personal Branding ina-affect aje business yako?
Personal Branding itakusaidia ku-get more customers na opportunities ukiifanya vile inafaa!
đŸ’ªDeloitte through Jenga na Deloitte, watakua na free mentorship session on Wednesday,
12th April 2023, from 2PM to 4PM, ku-teach wasee on how to brand yourself.
Session itakua face to face, pale Deloitte Offices, along Waiyaki Way.
Kama uko available na unadai ku-attend.
đŸ‘‡Please JAZA DETAILS ZAKO kwa hii form ASAP! https://forms.microsoft.com...

0
0
0