
PERSONALITY NA BIZ
Je unajua jinzia ya utu wako? Kwa kutumia ratili ya Myers, binadamu wote wapo kwa makundi 16. Mimi nimefanya jaribio ya kulijua kundi nilipo, na tokeo ikanipata kwa kundi la INTP (Introverted, iNtuitive, Thinking and Pensive). Hizi ndo vigezo u'determine vile mimi u run biz yangu, kuna test kadhaa hapa online zinaeza kusaidia kujua your personality, check link at the end of hii post.
Reason ya kushare this ni vile I realized the major mistakes wasee tuko kwa hii personality u do. We don't make the best sales people unlike wasee wenye wako kwa ESTP/ENTP/ESTJ, but after kuchapa hio test nilirealise zile areas my weakness iko and started working on it.
Ni vital sana kama msee uko kwa biz kujielewa, rather ku understand your personality, hii ukusaidia kuget a mirror yenye wewe u project kwa customers wako and best way unaeza handle crisis ama biz challenges. By understanding pia vile personalities u work, unaget a chance pia ya ku understand your clients, suppliers and biz partners kwa urahisi.
Chapa comment hapa chini with your personality type tu connect wasee we have common personalities. Again kwa tips noma kama hizi usisahau kujoin BIZ 101. Here is a site inaeza kusaidia kujua personality yako. https://www.16personalities...
#Biz101 #SHujaazBiz #Tujijenge