
Personally I have realized ukitaka customer arudi tena na tena, you can do the following;
- Be kind , mkaribishe fiti whenever anakuja.
- Be willing kumskiza.
- Once in a while offer discounts kwanza akinunua products mob.
If uko na extra tips you can share with us tuzidi kujengana.
0
0
0