
Personally I've realised hii kitu ya kuuza items na lipa mdogomdogo kwangu sio poa, imagine mteja awekelee deposit then akawie months kulipa yet you need kuuza hio item upate pesa ya kuleta stock nyingine.
How about you guys experience zenu na kuuzia wateja items na lipa mdogomdogo option iko aje? Tuchapiane comments section below 👇
0
0
0