Pesa ya biz nayo weka kando na Ile yako personal to maintain a better work life. Share vitu zingine unafaa kua avoid kwa biz kwa comments 👇👇