
@[Phauzia Wekulo] amehighlight point fiti, about the current tension btw Iran and Israel. How is it going to affect the global economy? Most importantly, itatu-affect aje sisi Kenyans? Last time, venye Ukraine na Russia walikuwa wanazozana, Africans tuliumia sana. Supply ya wheat, fertilizer na fuel, ilikuwa affected mbaya, leading to shortages and increased prices.
Ama kweli, fahali wawili wakipigana, nyasi ndio huumia!

0
0
0